Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

 

 

 

 

 

 

wanasemina wakiwa darasani na kushoto mzinga wa kisasa

 

 

 

 

 

 

Wanasemina pia walilishwa vizuri na kunywa maji ya kutosha ili waweze kuelewa vizuri.Africa Upendo iliwahudumia kwa kila kitu.Hapa vijana wa Asasi ya AUG wakiwahudumia wana semina.Hapa yupo Fanuel Francis,Nicholaus dada Neatness Msemo.lakini wapo pia akina Mahamdu Kileda,Harrison Miraji,Enna Joel,George Noah,Elizabeth Fanuel.Wote hawa ni vijana wa asasi hii ya Africa Upendo Group.Wengine wakiwa jikoni wengine wanahudumia na kubeba kama Nyuki wanafanya kazi.

Viongozi nao hawakurudi nyuma walihudhuria kwa umakini mkubwa.Hapa Mwenyekiti wa kijiji cha Shighatini Mrs.Grace Y Muze akiwa pamoja na katibu wake Mtendaji wa kijiji cha Shighatini walihudhuria.na juu ya meza ni mizinga ya nyuki wadogo.Ambao wanatengeneza asali ambayo ni dawa sana kama vidonda vya tumbo nk

7 Mutarama, 2016
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.