Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Baraza la Watoto wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mlisho Kikwete mwaka 2010, ikulu Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzungumza nae kuhusu Ajenda ya watoto

Watoto wakiwa katika michezo siku ya mtoto wa Afrika mwaka 2013

 

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wakiwa katika ziara Mkoani Mwanza na kamati ya Bunge ya Ajenda ya Mtoto februari 2014

Katiba ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaICC_MBEYA_Rasimu_ya_Katiba_ya_BWJMK_ELAND_MOTEL_ARUSHA_101007_1_.doc