Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
WANAKIJIJI WA VUGA KISHEWA WAKIWA KATIKA MKUTANO ULIYOFANYWA NA CHAMAKIVU
MOJA YA FAMILIYA YA KIJIJI CHA KILUWAI WAKIWA KWENHYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA UELIMISHAJI ULIYOFANYWA NA CHAMAKIVU JUU YA MASWALA YA KIJAMII
WASICHANA WA KIJIJI CHA VUGA BAZO WAKIWA KWENYE MKUTANO ULIONDESHWA NA CHAMAKIVU
WATOTO WA KIJIJI CHA VUGA BAZO WAKIWA KATIKA MICHEZO YAO BAADA YA KUPATIWA MAITAJI NA CHAMAKIVU
WAZEE WA KIJIJI CHA VUGA BAZO WALOTEMBELEWA NA MUAKILISHI WA CHAMAKIVU
MUAKILISHI WA MWELA AKIWA NA MUHASIBU WA CHAMAKIVU WAKIJADILIANA NA KUPEANA UDHOFU YA MASWALA YA KIJAMII