Injira
CENTRE FOR CHILDREN YOUNG PEOPLE AND ADULT EDUCATION DEVELOPMENT

CENTRE FOR CHILDREN YOUNG PEOPLE AND ADULT EDUCATION DEVELOPMENT

KIBAHA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Financial management seminar funded by Foundation for civil society
drama group during voters sensitization in Tanzania general election in mailimoja ward in 2010
CYDAD Volunteer sharing his experience during seminar on project write monitoring and evaluation funded by foundation for civil society in 2011
A group of community leaders, parents, women ,men and youths sharing their opinions on importance of voting during Tanzania general election 2010 in kibaha and Bagamoyo
A drama group has been part of sensitization of Tanzania general election 2010.

large.jpg

centre for children and young people katika mafunzo ya kujenga uwezo asasi 2011 ufadhili wa foundation

large.jpg

centre for children and young people imeshiriki unyanyasaji wa watoto na wanawake 2004 hadi leo

 Centre for Children and young people Development  linaungana na dunia pamoja na     watanzania  wote kusheherekea siku ya wanawake duniani March 2012. Siku hii pekee inatupa nafasi ya kutambua mchango wa wanawake  katika harakati ya kumkomboa mwanamke. Centre for Children a Young people and Adult Development  linapenda kuadhimisha siku hii kwa  kuikumbusha jamii ushiriki wa pamoja kwa kupinga unyanyasaji na ukatili kwa wanawake na watoto ambayo huadhimishwa kila mwaka mwezi December. Asasi inatambua mchango wa akina baba , vijana , watoto katika nguvu za pamoja katika kuleta mabadiliko na maendeleo ya kisasa.

Asasi   inaungana  na  mashirika mengine  kutambua mchango wao katika kutetea  na kupigania haki ya mwanamke. Mwanamke wa leo ni shupavu , jarisi na ameonesha anao uwezo  wa kufanya mambo mengi bila kuwa tegemezi . Wanawake wa Tanzania ni mhimili wa Taifa letu ambalo ndilo linajenga maendeleo ya nchi yetu. Daima tusonge mbele.