Injira
Elimu na mazingira

Elimu na mazingira

Arusha, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

tunategemea kuanzisha vitalu vya miti vijiji ngarenanyukie na ngwandua na ilkurot mwaka2014.    vitalu vya miti tutakavyo anzisha  itakuwa na miti ambayo inafaa kuotesha kwenye vyanzo vya maji kwani vyanzo vingi vya maji vinaanzia mlima meru

1.Elimu na mazingira ni shirika linalojishughulisha na usafi wa mazingira pamoja na kutoa elimu juu utunzaji bora wa mazingira.

2.Upandaji wa miti kwenye vyanzo vya maji.

3.Matumizi sahihi ya ardhi kwaajili ya kilimo.