Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Wanafunzi wa furaha wakiwa na furaha katika michezo huru ambayo ni sehemu ya mafunzo yao
Maoni (0)
Wazee mnakaribishwa kupeleka watoto wenu ili wapate elimu bora kwa wote
Please if you want to voluntere or to donate please contact us
wazee wenye watoto wanakaribishwa kuwapeleka watoto wao katika skuli ya furaha.
Skuli ya furaha imeazisha program ya mafunzo ya computer kwa wanafunzi wa darasa la pili.