Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Hisia Cultural Troupe huvutia mamia kwa maelfu ya wanajamii kututazama kwa kuwa sanaa zetu huwalenga wao

Elimu ya VVU/UKIMWI inatolewa na Hisia Cultural Troupe kama unavyojionea kwa udhamini wa psi

Hisia Cultural Troupe-Ni manjonjo tu. Hakika inaleta Raha!

Na hapa pia ni katika maonesho kuhamasisha matumizi ya Water Guard

Hapa ni katika maonesho vijijini kuhamasisha Water Guard inayosambazwa na PSI

Hapa ni katika moja ya maonesho yetu kuhamasisha matumizi ya dawa ya kutibu maji (Water Guard) Vijijini chini ya Shirika la PSI

 

Watu walicheka sana kwa ucheshi kutoka Hisia Cultural Troupe

Hisia Cultural Troupe Tulikuwa sambamba na msanii mwenzetu Mjomba Mrisho Mpoto katika uzinduzi wa gazeti la Kwanza Jamii!

 

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akizindua Gazeti la Kwanza Jamii ambapo Hisia Cultural Troupe iliburudisha

 

HAPA NI MARA BAADA YA ONESHO KUMALIZIKA. WASANII WA HISIA KATIKA PICHA YA PAMOJA1