Envaya

KATIKA UZINDUZI WA GAZETI LA "KWANZA JAMII" HISIA IMEALIKWA KUBURUDISHA. KWA WAKAZI WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE NI WAKATI MZURI WA KUSHUHUDIA SANAA YENYE UHAKIKA, YENYE NIDHAMU NA ILIYOKWENDA SHULE. KWA AMBAO HAWATAPATA FURSA YA KUFIKA ENEO LA SHUGHULI MTATAZAMA KUPITIA KATIKA KURASA ZA MTANDAO HUU

Mchezo wetu maalum unaendelea kuundwa. Kama wadau mna maoni yoyote katika kuuboresha kimawazo karibuni sana. Mada ni kuhusu VVU/UKIMWI na tunatarajia kuucheza vyuoni na baadhi ya maeneo ya mitaani.

WASANII WA HISIA CULTURAL TROUPE WAPO KATIKA MAZOEZI YA MCHEZO WA KUIGIZA KUJIANDAA NA MAONESHO YA KUFUNGIA MWAKA 2011. SAFARI HII MADA NI KUHUSU VVU/UKIMWI