tukiwa kwenye mapumuziko baada ya kutoka kutembelea baanzi ya khaya wanapoishi watoto yatima na mazingira mangumu
Here mr Jacob we training the children about jump player welcome to visit us and to give education children
Today we have visitors from Norway Mr Jacob and Mr emeli we be come to visit our project and the children.thanks for God
watoto wakipata chai baada ya kumaliza kipindi maad ambayo walikuwa wanajali kuhusu familia masikini na familia tajili hakika maada ilikuwa tamu na watoto wameulizana maswali na kujibiana.
the voice of children programe we training about behaviour nimoja ya program tukifundisha watoto kuwa na nidhamu pia kujitambua
hapa tukiwa tunapata chakula amabaada ya mapumuziko tukiwa kwenye mafunzo ya maenajiment na mobilizatoin kutoka shilika la mwanza young and children network tunawapongeza sana kwa kuja na kutupa semina.