Envaya

MR Mwinzali Akitoa maelekezo kwa watoto katika mchezo wa kukimbia 

mukulungezi MR Shija Clement Kinyata akito maelekezo mala baada ya kutoka uwajani na watoto akitoa utalatibu wa kupata unji watoto kalibuni sana kusapoti kituo chetu

the children after playing football and run get some porridge thank you for your support for this programs going good and thank you GOD to protect our children every day we are welcome you to join with us to support the children.

wow nice to play with the children our volunteer Ms. Janeth juma she play with the children. welcome to visit us.

 

 

thank you for your donation for the irrigation farming project. Tunawashukulu wote kwa kutuwenzasha kutupatia vifaa vya kilimo cha kisasa. kupitia hii project ya chamungil irrigation, itaenda kusaidia huduma kwa watoto kwa asilimia kuwa sana.


thanks for your donation for the insurance for the health to give the children God bless all who making donation and prayers fro the children and us. welcome to HROV ORG To volunteer.

nikiwa na Mr Mario kutoka  Europe akiangalia ziwa vikitoria akiwa na Mr shija clement kinyata Mkulungezi wa shilika la HROV ORG. our visitor Mr Mario from Europe with the Director at the Lake vickitoria