watoto wakiwa kwenye mudaharo siku ya jumamosi wakijalidili kuhusu maisha ya kielimu na maisha yasio na Elimu niikweli ilikuwa kazi ngumu maana watoto walikuwa wachangamufu walichuana maada ilikuwa nzuri yakuwajenga watoto kielimu. nizahili kuwa Elimu ni mwanga wa maisha kwa watoto. washindia waliopatika kwenye debate hii ni wasijana.
1 Februari, 2017
Maoni (2)