Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

tukiwa na mngeni wetu kutoka mwanza akiwa katika ofisi ya mkulungezi akiwa mmoja wa watu watu wa kujitolea katika kituo cha hope. tuna shukulu  sana kupata mngeni siku ya leo jumamosi  bwana jemes alipata nafasi  ya kuongea na watoto na kushare  vitu mbalimbali kwa watoto zikiwemo nyimbo na michezo mbalimbali. tunawakalibisha sana kututembelea na kutupa matumaini katika huduma ya mtoto. tuwajali watoto kuwapatia elimu iliyo bora zaindi.

19 Februari, 2017
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.