Fungua
KISESA WOMEN NET WORK

KISESA WOMEN NET WORK

mwanza, Tanzania

Uongozi wa kisesa women network unaoa shukurani za dhati kwa uongozi na watumishi wa The foundation for civil socierty kwa moyo wao wa uwajibikaji katika kufadhili mafunzo haya.

large.jpg

baada ya kupokea pesa za kuendesha mradi wa kujenga uwezo wanachama na viongozi wa Kisesa womwn network .

large.jpg

PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWAAGA VIONGOZI WA KIWO JULY 2013

large.jpg

PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA KUFARIJIWA NA VIONGOZI KIWO.

large.jpg

watoto wa mitaani wakiambatana na viongozi kumtembelea mama aliyeangukiwa na nyumba

large.jpg

watoto wa mitaani walipotembelewa na viongozi wa KIWO. mwennyekiti katibu na mweka hazina.

large.jpg

mama kulwa malila aliangukiwa nyumba mwaka jana hana pa kuishi ni mjane anaishi kisesa. alitembelewa na viongozi wa kiwo alipewa sukari na sabuni

medium.jpg

wajunbe wa kamati wanamuaga bi Rose joseph anbaye anawambia kuwa anapata shs.elfu kumi kila jumatano na ijumaa kwa kuomba omba jijini mwanza,kisesa iko mpakani mwa magu na jiji la mwanza.

medium.jpg

wajunbe wa kamati wanaendelea kumpa ushuri nasaha kwa vile ni kipofu anbaye maisha yake ni ya kuomba omba. na ameoa mwanaume ambaye hana kazi yeye ndiye anayetagemewa kwa maisha ya mjini.mwanaume eti analima.

medium.jpg

wajumbe wa kamati tendaji wakimpa Rose joseph vifaa vya kujikimu maisha ,sabuni,sukari mafuta na dawa za kuondoa upele.