Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

medium.jpg

wajumbe wa kamati tendaji wakiendelea kumpa maelekezo ya kujisaidia kujiondolea upweke, na umaskini.pia wanampa vifaa vya kujikimu,sabuni,sukari,mafuta na dawa

medium.jpg

wajumbe wa kamati tendaji wakimpa ushuri nasaha mirenbe charles mjane, anayeishi katika mazingara magumu na watoto wadogo wanne wote hawajaanza shule.

medium.jpg

wajumbe wa kamati tendaji wakimtembelea mwanamke mlemavu wa viungobi. Helena Ngwendesha mshindi wa mbio za akina mama walemavu mara tatu.ana watoto 6 na mmoja ni bubu jioni na kumpa vifaa vya kujikinu