Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Legal Assistance Organization Legal Aid Programme to open a new centre in Sengerema District soon!

4 Septemba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (5)

Tunawakaribisha wakazi wa wilaya ya Sengerema kuja kupata msaada wa kisheria katika kituo chetu. Kituo kitafunguliwa rasmi tarehe 10.09.2012.
4 Septemba, 2012
jamal jonathan (sengerema) alisema:
tunafurahia sana habari hii na tunaomba anuani yenu hapa sengerema mtakuwa wapi
7 Desemba, 2012
juma nkungurume (sengerema) alisema:
tunaomba anuani ya hapo kituoni na yuko nani tunamatatizo huku na tuna hitaji utatuzi na utetezi
7 Desemba, 2012
[maoni yamefutwa]
Ndugu Jamal na Juma, tumepokea maombi yenu, jitihada bado zinafanyika kupata ofisi ya kudumu na karibu na makazi ya watu, nitawapatia mawasiliano ya mwangalizi wa kituo cha Sengerema muonane naye kwa msaada zaidi wa kisheria.
10 Desemba, 2012
Alex B. Ntabala (Magereza(M) Mwanza) alisema:

Nafikiri hilo ni wazo zuri sana, hasa ikizangatiwa kwamba wananchi wengi hususani waliopo nje ya Jiji wamekuwa hawapati nafasi hiyo...

12 Januari, 2013 (ilihaririwa 12 Januari, 2013)

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.