Envaya

Kuzuia watoto wasiende mitaani, kuzisaidia familia zitoe matunzo sahihi kwao na kutoa huduma bora pia kushauri haki itendeke kwa wazee wenye uhitaji.

Mabadiliko Mapya
Loving Hand for Disadvantaged and Aged (TZ) imeongeza Habari 3.
9 Mei, 2011
Loving Hand for Disadvantaged and Aged (TZ) imeongeza One World One Love Foundation kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
Sina uhusiano na shirika hili.
9 Mei, 2011
Loving Hand for Disadvantaged and Aged (TZ) imeumba ukurasa wa Timu.
Mr Donald Mbeke---Mwenyekiti wa board. – Mrs Hatua Maalim--- Katibu. – Mr Titus Ndugulile--- Mjumbe.
9 Mei, 2011
Loving Hand for Disadvantaged and Aged (TZ) imeumba ukurasa wa Historia.
Shirika hili lilianza rasimi mwaka 1998 na kusajiliwa mwaka 2000. Lilianza na watoto 12tu, kwenye kituo wakiwa na umri kati ya miaka 2 na 4. Hivi sasa lina watoto zaidi ya 150, vituo 3 na kimoja kiko Shinyanga, mahali ambako linajishughulisha na wazee waliokataliwa na jamii zao kwa tuhuma za kichawi. – Mafanikio makubwa tuliyoyapata... Soma zaidi
9 Mei, 2011
Loving Hand for Disadvantaged and Aged (TZ) imeumba ukurasa wa Miradi.
1) Tunasomesha watoto waliotoka katika mazingira magumu. – 2) Tunalea watoto waliotoka kwenye mazingira hatarishi. – 3) Tunashauri kwa maswala ya UKIMWI. – 4) Tunatoa elimu ya kujitegemea kwa vijana wa vijijini. – 5) Tunaboresha familia duni. – 6) Tunatunza...
9 Mei, 2011
Sekta
Sehemu