Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

Vijana wa MEECO Talent Group wakiwa wametulia baada ya kumaliza kuonesha vitu vyao vya kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib

large.jpg

Wanachama wa MEECO wakiwa na Asasi rafiki ya Suza American Corner wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib

large.jpg

Diwani wa Wadi ya Mwanakwerekwe Nd. Mohd Kitete akiwa na Sheha wa shehia ya Mwanakwerekwe Bw. Ameir Pandu(fulana blue)na sheha wa shehia ya Pangawe Bw. Abdallah Juma Mtumweni (fulana ya njano) wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib

large.jpg

Wanachama wa MEECO na jumuiya rafiki ya SUZA AMERICAN CORNER wakiwa katika mkutano rasmi wa sherehe ya kumuaga Mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demmulang iliyofanyika  Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja wilaya ya Magharib

large.jpg

Vijana MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa na viatu vyao baada ya mshauri wao wa kigeni Bibi Katrina Demmuling kuwasaidia fedha kidogo za kununulia vifaa vyao zikiwemo nguo na raba ambazo wanazo hapo

large.jpg

Vijana wa MEECO TALENT GROUP(MTG) wakiwa katika matembezi hoteli ya Marumbi iliyoko Mkoa wa kusini Unguja wilaya ya Kati baada ya kufanya majaribio ya maonesho yao na kukubalika na Meneger wa hoteli hiyo

large.jpg

Mwenyekiti wa jumuiya ya MEECO Nd. Abdallah Ali Hassan akitafakari baada ya kuitikiab mualiko wa kushiriki katika zoezi la usafishaji wa mazingira lililo andaliwa na jumuiya rafiki.

large.jpg

Msaidizi Katibu Nd. Abdallah Saleh Fatawi (aliyesimama mkabala na jembe) na Mshika fedha wa MEECO Nd.Fred Mont Kasambala wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira

large.jpg

Viongozi na wanachama wa jumuiya ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira katika maeneo yaliyo wazunguka

large.jpg

Miongoni mwa vitendo vya ajabu vinavyooneshwa na vijana wadogo wa MEECO TALENT GROUP katika harakati za kuwakaribisha wageni kutoka shirika la Thefoundationfor civil society tarehe 4/9/2011