Fungua
MWANZA CHAVITA

MWANZA CHAVITA

MWANZA, Tanzania

CHAVITA ni kifupi cha Chama cha Viziwi Tanzania, ni Chama cha kiraia kimesajiliwa kisheria kitaifa mnamo tarehe 04 September 1984 kikiwa na usajili namba SO6466. CHAVITA makao makuu yake makuu yapo Dar es salam,CHAVITA tawi la Mwanza limeanzishwa mwaka 1989 na Viziwi wenyewe ili Viziwi wapate kuwa na maisha bora kama raia wengine Mkoani Mwanza.