Log in
MWANZA CHAVITA

MWANZA CHAVITA

MWANZA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

"CHAVITA ITAHAKIKISHA KUWA JAMII YA VIZIWI INA MAISHA BORA, INAJIJENGEA UWEZO WA KUJIAMINI,KUJITHAMINI,KUJIENDELEZA,KUKUZA LUGHA YA ALAMA TANZANIA NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHUGHULI ZOTE ZA KIMAENDELEO, KIUCHUMI NA KIJAMII KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI NA TAASISI NYINGINE"

Latest Updates
MWANZA CHAVITA created a History page.
CHAVITA ni kifupi cha Chama cha Viziwi Tanzania, ni Chama cha kiraia kimesajiliwa kisheria kitaifa mnamo tarehe 04 September 1984 kikiwa na usajili namba SO6466. CHAVITA makao makuu yake makuu yapo Dar es salam,CHAVITA tawi la Mwanza limeanzishwa mwaka 1989 na Viziwi wenyewe ili Viziwi wapate kuwa na maisha bora kama... Read more
October 8, 2011
MWANZA CHAVITA created a Team page.
SELEBI MAJURA - MWENYEKITI. – GEORGE MASHAURI - MAKAMU MWENYEKITI – EDINA FIDELIS - KATIBU – MOHAMED ABDALLAH - MHAZINA – MSINGA LYEMO - MJUMBE – HUSSEIN SHABANI - MJUMBE...
October 8, 2011
MWANZA CHAVITA joined Envaya.
October 8, 2011
Sectors
Location
MWANZA, Mwanza, Tanzania
See nearby organizations