Parts of this page are in Swahili. Edit translations
afisa kilimo wa wilaya ya lushoto akiwa katika ofisi ya mwela vuga wakiuliza maswali alipokuja kutembelea ofisi hiyo
mweshimiwa Januari makamba akiwa ofisi ya CHAMAKIVU akiwa na muhazini ndugu hassani sheshe na mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo
salimina magogo mwenyekiti wa mwela vuga akisoma risala ya vikundi vya ujasiliamali
mwenyekiti wa mwela tawi la vuga akiwa na Mbuge wa Bumbuli Mueshimiwa January Makamba