Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

afisa kilimo wa wilaya ya lushoto akiwa katika ofisi ya mwela vuga wakiuliza maswali alipokuja kutembelea ofisi hiyo

ofisi ya mwela vuga miongoni mwa picha zilizo bandikwa ndani ya ofisi

mweshimiwa Januari makamba akiwa ofisi ya CHAMAKIVU akiwa na muhazini ndugu hassani sheshe na mwenyekiti wa mwela tawi la vuga Salimina magogo

salimina magogo mwenyekiti wa mwela vuga akisoma risala ya vikundi vya ujasiliamali

mwenyekiti wa mwela tawi la vuga akiwa na Mbuge wa Bumbuli Mueshimiwa January Makamba




