Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

cheti cha usanii bora wilaya ya Ilala mashindano yaliyo andaliwa na chama cha sanaa za maonyesho Tanzania{CHASAMATA} na kufadhiliwa na PSI na mwekiti wa mwela fikili mvugaro aliibuka kuwa msanii bora mshindano yalifanyika 28/8/2002 hadi tarehe 31/8/2002

large.jpg

Cheti cha mwela katika ushiriki katika tamasha la kijiji cha makumbusho Dar es salaam

large.jpg

cheti cha mwela cha ushiriki katika tamasha liloandaliwa na (SHIWATA) shirikisho la wasanii Tanzania

large.jpg

cheti cha mwela cha Tuzo bora katika utekelezaji wa miradi yake tuzo hizo zilitolewa na Foundation for civili society

large.jpg

cheti cha mwela katika kushiriki tamasha la kijiji cha makumbusho Dar es salaam

large.jpg

hiki ni cheti cha usaji wa mwela

large.jpg

cheti cha mwela cha mafunzo ya muziki yaliyo endeshwa na music crossroads

large.jpg

cheti cha mwela cha ushirki katika mafunzo ya uongozi na maendeleo ya shirika mafunzo yaliyo endeshwa na foundation for civil society

large.jpg

cheti cha mwela cha ushiriki katika mafunzo ya usimamizi wa fedha na uendeshwaji wa miradi mafunzo yalioendeshwa na The Foundation for civil society