Mama msechu mjasiliamali mkongwe akiwapa udhoefu wake katika masuala ya ujasiliamali
Diwani viti maalumu wa kata ya mtoni akiwautubia washiriki wa mafunzo ya ujasiliamali yalofanyika kata ya mtoni,wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam katika ukumbi wa mwela theatre group

Mwalimu wa ujasiliamali akiwaelekeza wanafunzi wake jinsi ya kukunja mitindo mbalimbali ya batika

Mwalimu wa ujasiliamali akiwaelekeza wanafunzi wake jinsi ya kuchanganya dawa