Picha hapo juu:ni kikundi cha mazingira kikiwa katika mjadala wa pamoja wakiwa na muakilishi kutoka mwela
Picha hapo juu:ni washiriki wa mafunzo ya kujengewa uwezo wakiwa katika kazi za vikundi kwa mbali ni mwenyekiti wa mwela Fikiri mvugaro akiwa na mratibu wa mafunzo
Picha hapojuu:ni muakilishi wa Asasi ya MUYODE akiwakisha kazi ya kikundi
Picha hapo juu:ni wawakilishi wa asasi wakiwa katika mafunzo ya kujengewa uwezo wa
Picha hapo juu:ni muwezesha Salumu Muhamedi pia muhasibu wa mwela akiwa na viongozi wa Myode
Picha hapo juu:Muwezeshaji Salumu muhamedi pia muhsibu wa Mwela akiwafundisha wanakikundi wa MUYODE
Picha hapo juu:ni mtendaji wa mtaa wa Sokoni akifungua mafunzo ya kujengewa uwezo kwa kukundi cha MUYODE
Picha hapo juu:ni kikundi cha mazingira ambacho kinajengewa uwezo na mwela theatre group