Moja ya kazi ya filamu ya pwani ya uzuni ikiwa bado iko jikoni na kutarajiwa kuwa sokoni mwezi wa saba na kuwataka wapenzi wa mwezla wawe mkao wa kula baada ya kutoa filamu mliotikisa yailiojulikana kwa jina la FUNGATO[ficho la uchawi]
mwela theatre group wakishirikiana na ndovu sasa wanakuletea falamu mpya ya pwani ya uzuni chini wasambazaji wako Fikiri mvugaro na Mudy jongo.
banda la kufugia mbuzi na mbuzi wakiwa ndani yake ni mitaji midogo midogo ya kina mama wilayani lushoto kata ya vuga
fikiri mvugaro mwenyekiti wa mwela akikagua baadhi ya miradi ya kinamama wilayani lushoto akiwa matembezi kwa kungali maswala mbalmbali ya vikundi vidogo vidogo vya kiuchumi na kijamii katika kata ya vuga
KIJANA AKICHANGIA MADA YA UTAWALA BORA JUU YA UMUHIMU WA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SERIKALI ZA MITAA NA KUDAI MAPATO NA MATUMIZI
WASHIRIKI WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA UTAWALA BORA NGAZI YA FAMILIA KATIKA MAFUNZO YA UTAWALA BORA
MTU MWENYE ULEMAVU HAKITOA USHUHUDA WA JINSI WANAVYOTENGWA KATIKA MASWALA YANAYO WAHUSU
MOJA YA WATU WENYE ULEMAVU NA WASIKUWA NA ULEMAVU WAKIJADILI JINSI YA WALEMAVU WANVYOSHIRIKI KATIKA ULEMAVU