Envaya

large.jpg

picha hapo juu:ni moja ya mada iliowezesha kayika mradi wa kujengewa uwezo kwa vikundi vya kijamii vya kujitolea

large.jpg

PICHA Hapo juu:ni muwezeshaji na mwenyekiti wa mwela Fikiri Mvugaro akiwezesha vikundi vya kijamii juu ya uandaaji wa miradi

large.jpg

PICHA HAPO JUU NI MOJA YA MADA YA MADA YA UTAWALA BORA AMBAYO ILIWASILISHWA KATIKA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO WA VIKUNDI MAFUNZO YALIONDESHWA NA MWELA THEATRE GROUP

large.jpg

picha hapo juu:ni wazee wakiangalia maonyesho ya wazi juu ya maswala ya utawala bora mradi uliofadhiliwa na The foundation for civil society

large.jpg

Picha hapo juu: ni wasanii wa mwela wakiwa katika maonyesho ya wazi wakielimisha jamii juu ya maswala ya utawala bora ngazi ya kaya