Fungua
MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

TEMEKE,DSM,Tanzania

large.jpg

MUEZESHAJI MS ILUNDE NI KAIMU MWENYEKITI WA JUKWAA LA KATIBA AKIWA NA KATIKA MAKUNDI YA WANASEMINA AKITOA MAELEKEZO KUHUSU MADA YA UTAWALA BORA MAFUNZO YALIOANDALIWA NA MWELA THEATRE NA KUFADHILIWA FCS

large.jpg

BAADHI YA WASHIRIKI WAKIWA KATIKA KAZI YA VIKUNDI MOJA YA MAFUNZO YALIONDALIWA NA MWLA HTEATRE KWA UDHAMINI WA FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

large.jpg

washiriki wa mafunzo ya utawala bora wakiwa katika picha ya pamoja mradi uliyo fadhiliwa na THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY na iliondeshwa na mwela thaetre group

large.jpg

washiriki wa mafunzo ya utawala bora wakiwa katika picha ya pamoja mradi uliyo fadhiliwa na THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY na ulioendesha na mwela thaetre group

large.jpg

pichani ni wanakikundi wa kata ya kibada wilaya ya temeke na mkaguzi wa nje wa shirika la mwela akifanya ufatiliaji na kutathmini mradi wa utawala bora hususani katika eneo la umuhimu wa wananchi kudai mapato na matumizi na kushiriki katika shughuli za kujitolea mradi uliofadhiliwa na THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY na kuendeshwa na mwela thietre group tathmini hiyo ilifanyika katika ofisi ya kata ya kibada