mshekeshaji mtanga akiwa kwenye moja sehemu katika comedi ya chuo chuo cha ukabaji ikitadhalisha jamii kuwa makini na mbinu mambalimbali wanazotumia wakabaji
mshekeshaji senga akiwa kwenye pozi wakiwa kwenye uhuawandaji wa comed ya chuo cha ukabaji ambayo inaelezea mbinu mbalimbali wanazotumia wakabaji comedi ilioandaliwa na ndovu arts kwa kushirikiana na mwela theatre chini ya muongozaji fifikiri mvugaro ni mwenyekiti wa mwela