Log in
MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

TEMEKE,DSM,Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

mwandishi wa akiwa na mwanakijiji mmojawapo wakibadilishana mawazo katika lugha ya kiswahili kama inavyoonekana hapo.katika ofisi za mwela theatre group nchini tanzania

large.jpg

waandishi wa habari wakiangalia ngoma iliyokuwa ikipigwa na mwela theatre group katika ofisi Za mwela theatre group nchini tanzania.

large.jpg

waandishi wa habari wakiwa na wanakijiji wakijadili suala maisha ya tanzania katika ofisi za mwela theatre group nchini tanzania.

large.jpg

mjumbe wa mwela theatre akiwa na mwandishi wa habari wa japan wakijadili kuhusu shughuli za mwela theatre group nchini tanzania.

large.jpg

mwenyekiti wa mwela theatre na muweka hazina wa mwela theatre wakiwa na waandishi wa habari wa japan katika picha ya pamoja katika ofisi za mwela theatre group nchini tanzania.

large.jpg

wasanii wa mwela wakiwa katika pozi tofauti tofauti katika maandalizi ya kushuti filamu ya utawala bora iliyoaandaliwa na mwela theatre group nchini tanzania.

large.jpg

msanii wa mwela theatre akiwa amebeba gogo kubwa begani katika maandaliza ya kushuti filamu ya utawala bora iloyo aandaliwa na mwela theatre group nchini tanzania.