Log in
MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

MWELA THEATRE GROUP DAR-ES-SALAAM

TEMEKE,DSM,Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

pichani ni wanakikundi wa kata ya kibada wilaya ya temeke na mkaguzi wa nje wa shirika la mwela akifanya ufatiliaji na kutathmini mradi wa utawala bora hususani katika eneo la umuhimu wa wananchi kudai mapato na matumizi na kushiriki katika shughuli za kujitolea mradi uliofadhiliwa na THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY na kuendeshwa na mwela thietre group tathmini hiyo ilifanyika katika ofisi ya kata ya kibada

September 10, 2011
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.