Envaya

MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP

Wilaya ya Mtwara , Tanzania

Kuelimisha jamii hususani vijana kupunguza idadi ya wapenzi wengi awe wa kike au wa kiume.

Kuelimisha vijana walio vijiweni kuacha tabia hatarishi, kama vile utumiaji wa dawa za kulevya, biashara ya ngono nk.

Kuwahudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi(WWKMH) kwa kuwaunganisha na mitandao ya watoa huduma kwa WWKMH.

Mabadiliko Mapya
MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP imeumba ukurasa wa Historia.
Wazo la kuanzisha asasi ya MYAAG lilitoka kwa vijana wachache walio jitambua kuwepo katika hatari ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI tangia mwaka 2003 na kuanza kazi mwaka 2004.Pia asasi imesajiliwa rasmi mwaka 2006,Asasi inafanya kazi katika eneo la mkoa wa MTWARA.Asasi ina makao yake makuu manispaa ya mtwara... Soma zaidi
18 Mei, 2011
MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP imeongeza Habari.
MYAAG inakusudia kuwezesha mafunzo ya ujasiliamli kwa kamati za mtaa za kuhudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi. mafunzo yatafanyika kuanzia mwezi juni 2011. – Myaag inakusudia kuendesha mafunzo ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii kupitia maeneoya Bar, kuanzia majira ya saa 1;00 na kuendelea. ... Soma zaidi
18 Mei, 2011
MTWARA YOUTH ANTI AIDS GROUP imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Wilaya ya Mtwara , Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu