Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Jumuiya yetu inaongozwa na Kamati ya utendaji ambapo kuna mwenyekiti, Katibu mtendaji, mweka Hazina. Pia kuna wataalam na watendaji wa siku kwa siku ndani ya Jumuiya km Afisa Mipango na fedha, Msimamizi wa miradi, na Mhudumu wa ofisi. Lakini chombo cha juu chenye mamlaka katika Jumuiya yetu ni mkutano mkuu wa wanachama wote.