wanachama wa nyakitonto youth for development Tanzania katika picha baada ya mafunzo ya namna ya kuandaa mpango kazi wa asasi wa miaka mitano katika ukumbi wa redcross,kigoma ujiji.
27 Mei, 2012
NGAMA S ISSA (CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIM NYERERE DAR) alisema:
Mnaonyesha mfano bora wa kutaka kupambambana na maadui watatu yaani umasikini, ujinga na maradhi ambao ni mpngo ulioshindikana toka azimio la ARUSHA jini ya mwasisi wa taifa la TANZANIA
Maoni (5)