Envaya
NYENGEDI ENVIRONMENT DEVELOPMENT AND DISEASES CONTROL
Discussions
Parts of this page are in Swahili.
Edit translations
Poleni wadau kwa kuwa mbali na ukurasa wetu. Tanzania kwasasa tumeyaingia mambo matatu mazito. Daftari la kudumu,katiba
na uchaguzi tunatakiwa tuchague yakuanza nayo. Lipi kati ya haya matatu linaweza kusubiri?
April 19, 2015 by GODLISTEN
Poleni wadau kwa kuwa mbali na ukurasa wetu. Tanzania kwasasa tumeyaingia mambo matatu mazito. Daftari la kudumu,katiba
na uchaguzi tunatakiwa tuchague yakuanza nayo. Lipi kati ya haya matatu linaweza kusubiri?
April 19, 2015 by GODLISTEN
Kwanini watanzania tulio wengi ni masikini hata wa mawazo.
(5)
Nakumbuka siku moja aliyekuwa Raisi wa Msumbiji wakati akiaga Watanzania...kipindi cha Mzee Mkapa alipokuwa akijibu hotuba ya Mkapa(ya Kiingereza) yeye alijibu kwa Kiswahili sanifu alisema huku akicheka."Maendeleo tunayoyafanya Msumbiji tumeiga...
June 5, 2012 by Albert
Juhudi kubwa zimefanyika kutokomeza ugonjwa wa malaria, lakini bado tunashuhudia maelfu ya binadamu wenzetu wakiteketea kwa ugonjwa huu. Je ni wapi sisi kama watanzania tunapokosea?
(2)
@Godlisten Msanapenda kuchangia katika hili tunapokosea sisi ni sehemu moja tu kwamba unatibu malaria baada ya kuangamiza mazalia ya mbu kwani ndio chanzo cha kuenea kwa malaria. vile vile elimu haitolewi ipasavyo...
October 18, 2011 by siagirltz@gmail.com
Other discussions on Envaya
Add New Discussion Topic