Shirika lilianza rasmi mwaka 2004 na kupata usajili wake tarehe 16 mwezi september 2008
Na kupewa namba ya usajili chini ya Wizara ya mambo ya ndani, chini ya kifungu namba 12[2] namba 24 ya mwaka 2002 namba 08NGO/00002461. Na kupewa jukumu la kufanya kazi Wilaya ya Lindi Vijijini.