Injira
PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

TTB HABARI

BI DEVOTA MDACHI ATEULIWA MKURUGENZI MWENDESHAJI TTB

Bi Devota Mdachi

Na: Ripota wetu

Hatimaye Bodi ya Utalii Tanzania imepata Mkurugenzi Mwendeshaji baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua kuanzia tarehe 23 Oktoba, 2015 aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo Bibi Devota Mdachi kushikilia wadhifa huo wa juu kabisa katika Bodi hiyo.

Bi Devota Mdachi ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa Masoko wa TTB amekuwa akikaimu nafasi hiyo ya Mkurugenzi Mwendeshaji kwa miaka miwili kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji anakuwa mwanamke wa kwanza nchini kushikilia wadhifa huo katika Bodi ya Utalii toka ilipoanzishwa mwaka 1993.

Bi Devota Mdachi aliajiriwa na Bodi ya Utalii Tanzania kama Afisa Habari za Utalii katika tawi la Arusha mwaka 1994 kabla ya kuhamishiwa Dar es salaam mwaka 1998. Mwaka 2000 alipandishwa cheo na kuwa Afisa Habari za Utalii Mwandamizi na baadae Afisa Habari za Utalii Mkuu mwaka 2004 kabla ya kuteuliwa kuwa Afisa Masoko Mkuu mwaka 2010.

Mwaka 2011 Bi Mdachi alifanyakazi katika Idara ya Masoko na Mawasiliano ya Shirikisho la Utalii la nchi

za kusini mwa Afrika – RETOSA nchini Afrika Kusini

kwa muda miezi mitatu kabla ya kurejea mwaka June, 2011 na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Masoko mwaka 2014.

Mdachi ambaye pia ni miongoni mwa wanawake watano wa Tanzania walioshinda tuzo ya wanawake ya Mwl Nyerere (Mwl Nyerere Golden Award Women Achievers) ya mwaka 2015, ana shahada ya kwanza ya Uhusiano wa Kimataifa na lugha ya Kifaransa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Aidha ana shahada ya Uzamili katika Utalii Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Post graduate certificate ya Utalii kutoka shule ya Kimataifa ya Utalii iliyoko Rome Italia.

 

SAMATA KUWA BALOZI WA UTALII WA TANZANIA?

Na: Ripota wetu

Mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani ya Afrika Mbwana Samata huenda akatunukiwa heshima ya kuwa balozi wa heshima wa Tanzania endapo mazungumzo yanayoendelea baina ya TTB na mawakala wa mchezaji huyo yatazaa matunda.

Bodi ya Utalii Tanzania imedhamiria kumtumia mchezaji huyo katika kuitangaza Tanzania kama eneo la utalii pamoja na vivutio vyake vya Utalii duniani kwa lengo la kuvutia watalii zaidi nchini.

“Tumeanza mazungumzo na mawakala wa mchezaji huyo ingawa bado hatujafikia muafaka, wenzetu upande wa pili wameomba tuwape muda zaidi wakatafakari zaidi” alidokeza Bw. Geofrey Tengeneza. Alisema mawakala wa Samata walikuja katika meza ya mazungumzo wakiwa na mtazamo wa Kibiashara zaidi wakati sisi tunalenga katika mtazamo wa kutanguliza uzalendo badala ya biashara.

Endapo pande hizo mbili zitaafikiana Mbwana Samata ataungana na mabalozi wengine wa heshima ambao

pamoja na mambo mengine husaidia kuutangaza utalii wa Tanzania. Mabalozi hao na nchi zao katika mabano ni pamoja na Dkt Costa Tungaraza (Australia), Bw. Patrick Steenburg (USA), Bw. Macon Dunnugan (USA), Dkt. Philip Imler (USA) na Bibi Flavian Matata (USA).

Mbwana Samata ni mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania ambaye hivi karibuni alifanikiwa kuwa mfungaji bora na mchezaji bora barani Afrka kwa wachezaji wanao cheza ndani ya Afrika.

 

PMU YAIMARIKA ZAIDI

Hongera kitengo cha PMU kupata wafanyakazi wapya. Ndugu.Edrick Jackob na Reuben Lameck karibuni sana kwenye familia ya TTB.

Bw. Reuben Bhokeye

Bw. Edrick Kipanda

Na: Ripota wetu

Kitengo cha manunuzi cha Bodi ya Utalii Tanzania kimeongezewa nguvu zaidi baada ya wafanyakazi wawili kuhamishiwa Bodi ya Utalii kutoka  maeneo mengine ya utumishi serikalini.

Wafanyakazi hao Bw. Edrick Jakob Kipanda ambaye ni Afisa Ugavi darala la kwanza aliyejiunga na TTB akitokea Wizara yana Umwagiliaji. Bw. Kipande ana shahada ya Uzamili katika Manunuzi na Menejimenti ya Ugavi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati  Bw. Reuben Lameck Bhokeye ambaye ni Afisa Ugavi Mwandamizi amejiunga na TTB akitokea idara yaTaifa ya Takwimu. Bw Reuben ana Stashahada ya juu ya Manunuzi.

“Najisikia raha sana na amani sana moyoni kwa kupata watumishi hawa wawili katika kitengo changu na hii imenipa ari zaidi ya kazi” alisema mkuu wa kitengo hicho Bi Mcharo huku akitabasamu alipoulizwa na ripota wa TTB habari kuhus namna anvyojisjikia kuongezewa nguvu mpya katika kitengo chake.

Kabla ya hapo kitengo hicho kilikuwa na wafanyakazi wawili Maria Hamson na Alice Mcharo ambaye ni mkuu wa kitengo hicho.

 

MBWAMBO NA MSHANA WASTAAFU RASMI KAZI

Na: Ripota wetu

Utumishi wa Umma  wa wafanyakazi wa siku nyingi Bibi Rose Waridi Mbwambo na Bw. Amani Yohane Mshana umefikia kikomo baada ya watumishi hao kustaafu kazi rasmi hivi karibuni.

Bw. Msahana na Bibi Mbwambo ambao walikuwa waajiriwa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wameitumikia Bodi kwa muda mrefu toka ilipokuwa Shirika la Utalii Tanzania (TTC) na hatimaye Bodi ya Utalii Tanzania.

Bi Rose Mbwambo aliyekuwa mkuu wa kituo cha habari za Utalii cha TTB kilichokuwa mtaa wa Samora jijini Dar es salaam aliajiriwa mwaka 1994 kama Afisa Habari za Utalii na kuendelea kupanda mpaka kufukia Afisa Habari za Utalii Mwandamizi (Senior Tourist Information Officer) cheo ambacho amekitumikia mpaka anastaafu tarehe 17/11/2015

Naye Bw. Amani Johane Mshana aliajiriwa na Bodi ya Utalii Tanzania  mwaka 1996 kama dreva na alifanya kazi katika tawi la Arusha ambako aliendelea kupanda cheo na kufikia ngazi ya dreva Mwandamizi nafasi ambayo amehudumu kuhudumu mpaka alipostaafau rasmi tarehe 31/12/2015.

 

TTB YAIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA BODI BORA ZA UTALII AFRIKA

Na: Ripota wetu

Bodi ya Utalii Tanzania imeibuka mshindi wa tatu miongoni mwa Bodi za utalii bora barani Afrika katika shindano lililoendeshwa na tasisi ya Kimarekani iitwayo Travvy (Travvy Awards) na kutunukiwa tuzo ya bronze.

Bodi ya Utalii ilikuwa miongoni mwa nchi tatu zilizoingia fainali katika kundi la Bara la Afrika. Bodi nyingine mbili zilizoingia katika nafasi bora tatu ni za Afrika ya Kusini na Namibia  ambapo Afrika ya kusini iliibuka mshindi wa kwanza ikifuatiwa na Namibia.

Akizungumzia ushindi huo Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi Devota Mdachi alisema ushindi huu unaonyesha jinsi gani tunajituma na kufanya kazi kwa weledi licha ya changamoto kadhaa zinazotukabili. “Ushindi huu ni kielelezo kwamba tunafanya kazi nzuri pamoja na changamoto kadhaa tulizo nazo” alisema Bi Devota. Aliongeza kuwa nafasi ya tatu tuliyoipata imetupa faraja na kututia hamasa sana na huu ni ushindi wa nchi na wadau wote wa sekta ya utalii kwa ujumla.

Bi. Devota Mdachi

Bi. Devota Mdachi - Mkurugenzi Mwendeshaji-Bodi ya Utalii Tanzania.

TTB YAPOKEA WANAFUNZI KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO

Na: Ripota wetu

Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wameendelea kupata nafasi ya kujifunza kwa vitendo (practical) Bodi ya Utalii Tanzania katika idara na vitengo mbalimbali baada ya kupata mafunzo yao kwa njia ya ndaharia wawapo vyuoni.

Hivi karibuni TTB imepokea wanafunzi wawili Happy Boniface Choma wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) anayesoma kozi ya Menejimenti ya Raslimali watu (Human Resoursce Management). Bi Happy Choma ambaye yuko katika idara ya Utawala na Raslimali watu atakuwa TTB kwa mafunzo mpaka mwezi Machi 2016.

Mwanafunzi mwingine ni Happy Mchekelo Lenis wa Chuo cha VETA Mtwara anayesomea Ukatibu Muhutasi naye atakuwa hapa mpaka Machi 2016 akiwa chini ya Bi Hidaya Kayera.

Bodi ya Utalii imekuwa na utaratibu wa kutoa fursa kwa wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini kujifunza kwa vitendo kozi wanazosomea katika vyuo wanavyotoka.

Bi Happy Choma

Bi. Happy Mchekelo

WAWILI WAAJIRIWA TTB KWA MKATABA WA MUDA

Na: Ripota wetu

Katika kuimarisha utendaji wake na kuboresha wa huduma izitoazo kwa wadau mbalimbali wa ndani ya shirika na nje, Bodi ya Utalii Tanzania imeajiri vijana wawili kwa mkataba wa mwaka mmoja mmoja kila mtu.

Watumishi hao ambao wako katika ajira ya muda toka tarehe 09/11/2015 wote wanahudumu upande wamapokezi (reception) na kabla ya kujiunga na TTB walikuwa katika maeneo mengine ya utumishi na chuoni.

Bi Zainab Lugwani ambaye ana cheti cha Front office operation kutoka chuo cha Taifa cha Utalii (National college of Tourism) amejiunga na TTB akitokea katika hotel ya Blue pearl iliyopo ubungo ambako pia alikuwa upande wa mapokezi. Nae Bi Husna Mohammed amejiunga na TTB akitokea masomoni chuo cha Taifa cha Utalii ambako alihitimu stashahada ya Front office operation. Kabla ya hapo Bi Husna alifanya kazi Msalaba Mwekundu (Red Cross Tanzania) akiwa ni mtunza stoo (store keeper).

Waajiriwa wapya Bi Zainab Lugwani (kushoto) na Bi Husna Mohammed

 

BODI YA UTALII TANZANIA YAWANIA TUZO YA MWAKA YA KIMATAIFA YA WORLD TRAVEL AWARDS

Na: Ripota wetu

Bodi ya Utalii Tanzania ni miongoni mwa taasisi na vivutio 24 vya utalii vya Tanzania vulivyoingizwa kwa ajili ya kuwapata washindi wa Annual World Travel Awards (AWT) kwa makundi (categories) mbalimbali katika sherehe ya utoaji tuzo hizo ambazo mwaka huu zitafanyika April 9 mwaka huu  Zanzibar katika hotel ya Diamonds La Gemma dell’Est

Bodi na Mamlaka nyingine za Utalii zinazoshindanishwa na TTB katika chini ya Destination category katika kundi la Bodi zinazoongoza Africa kwa mwaka 2016 ni pamoja na Mamlaka ya Utalii ya Misri, Bodi ya Utalii ya Gambia, Mamlaka ya Utalii ya Ghana, Bodiya Utalii ya Kenya, na Shirika la Taifa la Utalii la Morocco. Mengine ni Bodi ya Utalii ya Namibia, Shirika la Maendeleo ya Utalii la Nigeria na Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar.

Taasisi nyingine na vivutio vya utalii kutoka Tanzania vilivyoingizwa kuwania tuzo hizo na makundi yao katika mabano ni Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Julius Nyerere, Bandari za Dar es salaam na Zanzibar, Zanzibar kama eneo la utalii, Mlima Kilimanjaro, Bonde la Ngorongoro, na  Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Nyingine ni hotel ya Diamond La Gemma dell’Est, Hoteli ya Dream of Zanzibar na Hideaway of Nungwi Resort &Spa, Hoteli za Blue bay Beach Resort & , Dream of Zanzibar, Karafuu Beach Resort &Spa na Diamond La Gemma dell’Est zote za Zanzibar: Serena Hotel –Dar es salaam; Singita Sasakwa Lodge; Breezes Beach Club na Karafuu Beach & Spa; Beyond Mnembe Island Lodge na Chapwani Private Island: Four Season Safari Lodge Serengeti; Singita Sabora Camp na Jongomero Camp.

Upigaji kura umeanza Februari Mosi mwaka huu na umefikia mwisho Februari 29, 2016.

 

Imetolewa Na:

BW. GEOFREY TENGENEZA

Mhariri Mkuu TTB HABARI.

Simu: +255222127424

Mobile: +255 713 439 928

Email: gtengeneza@tanzaniatourism.go.tz

 

Tuandikie:

 

BODI YA UTALII TANZANIA

Utalii House — Mtaa wa Laibon / Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Karibu na ubalozi wa Ufaransa

S.L.P 2485

Dar es Salaam, Tanzania

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

OLDUVAI GORGE IS IN TANZANIA

Tanzania Tourist Board (TTB) has been following up the ongoing discussions on social media following a video clip being posted on YouTube (https://www.youtube.com/watch?v=iveX49WE7fw) which has been circulating through various media channels showing a person claiming that Oldupai Gorge, a site in Tanzania that holds evidence of the earliest existence of mankind is in Kenya.

This video clip has triggered a lot of discussions on the different social media among Tanzanians and other people who have good wishes for Tanzania tourism who know very well that Oldupai Gorge is in Tanzania and NOT in Kenya.

As a public institution, responsible for marketing and promotion of Tanzania tourist attractions, Tanzania Tourist Board is also dismayed by this misleading information which intends to distort the good work the Board has been doing in promoting Tanzania tourist attractions including the Oldupai Gorge.

The Board would like to take this opportunity to strongly refute this statement delivered by the said person from a neighboring country while addressing one of the sessions of the International Young Leaders Assembly (IYLA) in USA, August 2016.

We would like to inform the world that as it is the case for Mt. Kilimanjaro, Serengeti National Park, Zanzibar to mention just a few, Olduvai Gorge which is referred to as the Cradle of Mankind, where Dr. Louis and Mary Leakey discovered important hominid remains of the nutcracker ‘Australopithecus bosel’, who lived nearly two years ago, is also in Tanzania and not elsewhere in the world. It is located in the eastern Serengeti Plains in the Arusha Region and about 45 km, from Laetoli, another important archaeological site of early human occupation. The paleoanthropologist-archeologist team Mary and Louis Leakey established and developed the excavation and research programs at Olduvai Gorge which achieved great advances of human knowledge and world-renown status. Olduvai Gorge is one of the key tourist attractions for Tanzania.

 

We call upon Tanzanians and those with good wishes for Tanzania wherever they are to continue supporting the effort’s undertaken by TTB in marketing Tanzania and her all tourism attractions. We believe that it is the role of every single Tanzanian to promote Tanzania as Africa’s best destination and ask them to join and support Tanzania Tourist Board in its efforts to promote destination Tanzania.

We would like to applaud the reaction made by Tanzanians and non-Tanzanian within and out of Tanzania, who through this incident were able to stand up as ‘one voice’ and tell the world that OLDUPAI GORGE is INDEED IN TANZANIA!

Issued by:

 

Public Relations Office

TANZANIA TOURIST BOARD

TANZANIA TOURISM INDUSTRY MEMBERS AND ATTRACTIONS NOMINATED FOR 23rd ANNUAL WORLD TRAVEL AWARDS

Tanzania has registered a total of 24 entries which have been nominated for 23rd Annual World Travel Awards (WTA) in an event set to take place at Diamonds La Gemma dell’Est in Zanzibar, Tanzania on Saturday, April 9th, 2016; where winners in different categories will be announced in the dazzling red-carpet ceremony that will welcome hospitality leaders and luminaries from across the regions.

Among the  entries from Tanzania is the Tanzania Tourist Board (TTB) which is competing under the

Destination category of Africa’s leading Tourist Board 2016 against with Egyptian Tourist Authority, Gambia Tourism Board, Ghana Tourism Authority, Kenya Tourism Board and Moroccan National Tourism Organization. Others are Namibia Tourism Board, Nigerian Tourism Development Corporation and Zanzibar Commission for Tourism

 

Entries from Tanzania and their categories in bracket are  Julius Nyerere International Airport (Air category – Africa’s Leading  Airport 2016) Dar es salaam and Zanzibar Ports (Cruise category –Africa’s Leading Cruise port 2016) Zanzibar (Destination category –Africa’s Leading beach destination 2016 and Africa’s Leading destination 2016) Mt. Kilimanjaro and Ngorongoro crater (Destination category – Africa’s Leading Tourist Attraction 2016) Serengeti National Park (Destination category – Africa’s Leading National Park 2016 and Tanzania Tourist Board (Destination category – Africa’s Leading Tourist Board 2016.

 

Others are Zanzibar’s Diamond La Gemma dell’Est, Dream of Zanzibar and Hideaway of Nungwi Resort &Spa (Hotel & Resorts – Africa’s Leading All-inclusive Resort 2016); Zanzibar’s Bluebay Beach Resort & , Dream of Zanzibar, Karafuu Beach Resort & Spa and Diamond La Gemma dell’Est (Hotel & Resorts category–Africa’s Leading Beach Resort 2016): Serena Hotel –Dar es salaam (Hotel & Resorts –Africa’s Leading city Hotel 2016); SingitaSasakwa Lodge (Hotel & Resorts – Africa’s Leading Luxury lodge 2016); Breezes Beach Club, Karafuu Beach & Spa and Dream of Zanzibar (Hotel & Resorts – Africa’s Leading Resort 2016); & Zanzibar’s Beyond Mnembe Island Lodge and Chapwani Private Island (Hotel & Resorts – Africa’s Leading Private Island Resort 2016): Four Seasons Safari Lodge Serengeti (Hotel & Resorts – Africa’s Leading Safari Lodge 2016) and Singita Sabora Camp and Jongomero Camp (Hotel & Resorts – Africa’s Leading Tented Safari  Camp 2016.

With more than 1,500 Africa & Indian Ocean nominations now revealed, voting which started 1st February is expected to be highly competitive right up until the February 29th deadline. World Travel Awards President Graham Cooke said: “This is always an exciting time of year for World Travel Awards, as we unveil the nominees for the first Gala Ceremony of the year. As we have come to expect it is a stellar list, incorporating the leading lights of hospitality from across Africa and the Indian Ocean.

WTA which was established in 1993 to acknowledge, reward and celebrate excellence across all sectors of the tourism industry, each year covers the globe with a series of regional Gala Ceremonies staged to recognise and celebrate individual and collective successes within each key geographical region.

In order to cast your vote you need first to register for an account. So to register and thereafter cast your vote, please visit www.worldtravelawards.com/register. A verification email will be sent to your email account and you will need to click the verification link to verify your email address before you can login to cast your vote. Please make sure you vote for Tanzania entries mentioned above.

Tanzania sets to participate in ITB 2016 under the new slogan

Press Release

A total number of 63 private and public companies from Tanzania will participate in this year edition of ITB show under Tanzania Tourist Board’s coordination scheduled to take place from 9th -13 March, 2016 in Berlin Germany under the new slogan ‘Tanzania; The Soul of Africa.’ which was officially launched in October last year by the retired President Dr. Jakaya Kikwete to replace the previous one ‘The Land of Kilimanjaro, Zanzibar and the Serengeti.

Some of the ITB participants from Tanzania during the pre – meeting held in Dar es salaam recently.

Team Tanzania comprising of 60 companies from the private sector including Tour and Travel operators, Airlines carriers and Accommodation facilities and 3 institutions from the public sector will be showcasing the country’s spectacular tourism attractions as well as their services under TTB stand to tourism and travellers and travel trade professionals worldwide.
The Managing Director of Tanzania Tourist Board Ms Devota Mdachi calls upon trade and visitors from all over the world attending ITB to visit the Tanzania stand which is just after the main entrance of Hall 21(a) Booth Number 122.

 

Issued by:

Public Relations Office
TANNAIA TOURIST BOARD

 

TASOTA AND EMIRATES VS TTB MEETINGS IN PICTURE

 

Head of Tanzania Tourist Board’s IT unit Mr Rosan Mduma briefs the Chairman and the Executive secretary of TASOTA Mr Moustafa Khataw and Ms Corina Fernandes respectively on how TTB portal works. Others in photo are the Managing Director of TTB Ms Devota Mdachi (in black dress) and other TTB’s officials.

The Managing Director of TTB Ms Devota Mdachi (second right) and the Emirates country manager Mr Husain Alsafi (in black suit) holding one of the TTB’s promotional materials to symbolize the partnership of two institutions in marketing destination Tanzania. Others in photo are officials from TTB and Emirates.

TTB HAPPY WITH THE ONGOING CONSTURCTION OF TERMINAL THREE

The Managing Director of Tanzania Tourist Board (TTB) Ms. Devota Mdachi has expressed her gratitude to the ongoing construction of terminal three of Julius Nyerere International Airport noting that it will attract more international airline to destination Tanzania once is fully completed and begin operating.

Ms. Mdachi made this observation recently after visiting a site to see the development of the terminal three constructions which is part of the upgrading project of the Airport.  The Managing Director accompanied in the site visit with other officials from TTB who are members of cooperation committee between Tanzania Tourist Board and Tanzania Airport Authority  (TAA) formed to see how best two institutions can closely work together in marketing destination Tanzania, increase number of international airlines coming to Tanzania as well as increasing number of tourist arrivals.

Prior to site the visit, the committee held a meeting to discuss on various issues in line with the areas of cooperation and made some deliberations toward strengthening destination Tanzania marketing endeavors and the promotion of the new terminal globally.

According to engineer Farashuu Faraji the terminal three will have eight boarding gates and five conveyer belts at baggage claim area once two phases ‘constructions of the terminal is concluded.

 

FINISH TOURISM STAKEHOLDERS PAY A COURTESY CALL TO TTB

Tourism stakeholders from Duara travels, the Finish based company recently paid a courtesy call to Tanzania Tourist Board’s Managing Director Ms Devota Mdachi to introduce themselves and their company. They also introduced other community based projects they undertake here in Tanzania and exchange views on how tourism activities such as cultural tourism (under TTB’s Cultural Tourism Program) can as well be included in their projects.

The Managing Director of Tanzania Tourist Board Ms. Devota Mdachi insisting a point to Ms Johanna Viarros and Elina Vaipio from Finland when they paid her a visit at TTB head office in Dar es salaam.

Ms Devota Mdachi the Managing Director of TTB and the Tanzania Tourist Board’s Tourism Services Manager Mr. Philip Chitaunga share a light moment with the visiting tourism stakeholders from Finland (not in picture) in TTB board room recently

Ms Devota Mdachi presenting a bag with some promotional materials to Ms Johanna as Philip Chitaunga witnesses.

Serengeti cultural festival 19-21 July 2016

Serengeti Cultural Festival is the very unique annual cultural celebration event which is held in every third week of July at mugumu town in rural Mara region, western Tanzania. About 40 kilometers from the Ikoma Gate of Serengeti national park, July 19 to 21. It is an open-air event that brings together traditional dancers from the people of tribes between Lake Zone and Serengeti national park and will give visitors to Serengeti national park a chance to supplement their game-viewing safari with experience of African traditional dance and art. Traditionally most of the festivals, exhibitions and trade fairs are usually staged in urban areas. The event will run for three days between 10:00 am and 4 pm and the participants include people of the kurya, ikoma,masai, wamagati, sukuma,jita and ngoreme tribes. For further information about the event, you can contact the organizer of the event by telephone, +255 784402113, +255 767402113  or Email: serengeticulturalc@gmail.com, info@serengeticulturalcentre.com

 

THE OBJECTIVES OF CULTURAL FESTIVAL:

  • Promote cultural tourism, environmental conservation, cultural heritage and provide employment opportunity to the people and entertains Tourists.
  • Empower local people economically as are encouraged to vend their handcraft and work of Art in the stadium.
  • Give opportunity to Companies that sponsor or contribute towards achievements of the festival to make brandings of their products or the services they offer to the community. This enables them to expand the market and customers
  • Sensitize people on certain issues that confront the community through traditional arts

Venue: mugumu town. Mara region.

 

Date: 19-21 July 2016.

Theme: Tourism and the quality of life”

 

For further information:

Cell phone: +255 784 402113, +255 767 402113

Email: info@serengeticulturalcentre.com

Faceboo.com/serengeticulturalcentre

www.serengeticulturalcentre.com

Welcome!!!!!

TANZANIA NAMED FINALIST IN BEST TOURIST BOARD AFRICA CATEGORY FOR ANNUAL TRAVVY AWARDS

Tourism sector in Tanzania is continuing to perform well at international arena after the country’s responsible organ for marketing Tanzania as a tourist destination Tanzania Tourist Board (TTB), being named one of three finalists in Destination:- Best Tourist Board Africa category for the 2015 Travvy Awards that recognizes the highest standards of excellence in the Industry today and honors travel companies, travel products, travel agencies, travel executives, travel agents and travel destinations. Other two finalist countries under the category are South Africa Tourism and Namibia Tourism Board.

Tourism sector in Tanzania is continuing to perform well at international arena after the country’s responsible organ for marketing Tanzania as a tourist destination Tanzania Tourist Board (TTB), being named one of three finalists in Destination:- Best Tourist Board Africa category for the 2015 Travvy Awards that recognizes the highest standards of excellence in the Industry today and honors travel companies, travel products, travel agencies, travel executives, travel agents and travel destinations. Other two finalist countries under the category are South Africa Tourism and Namibia Tourism Board.
Selection of the finalists is based on votes by travel agents. The final two winners in the respective categories are determined by the award-winning Travel Alliance editorial team.
The Annual Travvy Awards will be presented by TravAlliancemedia at a Gala Awards night, New York City, January 6, 2016.

“Tanzania is honored to be among the finalists for Africa. This is the result of the dedicated and pro-active work in the US market by Tanzania Tourist Board (TTB), together with The Bradford Group, TTB’s USA representative, and the strong support of Tanzania National Parks and Ngorongoro Conservation Area Authority as well as the Tanzania Embassy in Washington and the Tanzania Mission to the UN in New York.“ commented, the Permanent Secretary of the Ministry of Natural Resources and Tourism Dr. Adelhelm Meru

He further said that In addition to Tanzania having some of the world’s most renown tourism icons, the Serengeti and the Great Animal Migration, Mt. Kilimanjaro, the Ngorongoro Crater as well as the hidden gems of the South, the Selous Game Reserve and Ruaha National Park, visitors from all over the world are also attracted to Tanzania because of its peace and tranquility, stability and prevailing democracy in the country that makes Tanzania a suitable place to stay for visitors.

This new development comes after recent developments where Tanzania mainland and Zanzibar were named by the US Travel and Leisure Magazine among the annual Best Places to Travel in 2016. Tanzania was also named among 52 places to go this year by the ‘New York Times’, the best African Destination to visit by the Fox News Channel, the best safari Country of Africa by SafariBookings.com and Tanzania’s Mt Kilimanjaro and Serengeti National Park being named two of the greatest parks in the World by National Geographic Magazine to mention just a few. Destination Tanzania has also received continuous positive coverage in the major travel publications and broadcast media

TTB AWARDS CERTIFICATES TO KILI CLIMBERS

Tanzania Tourist Board has awarded  certificated to this year Uhuru expedition ‘s Mt Kilimanjaro climbers in recognition to their contribution in promoting domestic tourist through climbing Mt. Kilimanjaro.

The certificates were present to climbers by the guest of honour Moshi District Administrative Secretary Ms Remida Ibrahim when receiving the expedition led by the retired Chief of Defence Forces General George Waitara at the Marangu gate. Among the climbers who started ascending the mountain on 5th December this year were TTB’ s retired chairman Ambassador Charles Sanga and Luteni not General Samwel Ndomba.

The expedition group was met at the gate guest of honor and Officials from TANAPA and TTB.