Fungua
PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI COAST CULTURAL TOURISM PROGRAMME

PANGANI, Tanzania

OFISI YA TTB KANDA YA ZIWA MWANZA YAZINDULIWA RASMI

Geofrey Tengeneza

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (MB) ameiambia ya Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kuwa tatizo la sugu bajeti isiyotosheleza mahitaji ya Bodi hiyo katika kutekeleza majukumu yake litapatiwa ufumbuzi kwa kiasi kikubwa mara baada ya fedha kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya Utalii (Tourism Development Levy kuanza) kuanza rasmi ambapo moja ya vyanzo vyake vya fedha ni tozo la kitanda siku kwa watalii watakaokuwa wakilala katika hoteli mbalimbali.

Ofisi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kanda ya ziwa iliyoko katika jingo la hotel ya Mwanza muda mfupi kabla ya kuzinduliwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (MB).

Mheshimiwa Nyalandu ameyasema hayo wakati akizindua ofisi ya Bodi ya Utalii kanda ya ziwa iliyoko jijini Mwanza. Amesema Bodi ya Utalii inapaswa kutengewa bajeti ya kutosha kuiwezesha kumudu ushindani uliopo wa kutangaza vivutio vyetu katika masoko ya watalii na kuvutia watalii wengi. “ Tuiwezeshe kwanza TTB kwa kuipa fedha za kutosha kutekeleza majukumu yake ndipo tuwaluamu wakishindwa” alisema. Kuzinduliwa kwa ofisi ya TTB mkoani Mwanza ambako kumefanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya Utalii duniani ni jitihada za Bodi ya Utalii Tanzania kusogeza huduma zake zaidi kwa wananchi ambapo ofisi hii ya Mwanza ni ya tatu, baada ile ya Kanda ya Kaskazini na ile ya Kanda ya nyanda za juu Kusini iliyoko mjini Iringa. Ofisi hii ilianza kazi jijini Mwanza tangu Novemba 11, 2011 ambapo awali ilianzia katika eneo la Kapripointi kabla ya kuhamia katika jengo la hoteli ya Mwanza (Mwanza Hotel) katikati ya jiji hili la Mwanza Desemba 27, 2012.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazro Nyalandu (MB) akizungumza na wandishi wa habari ndani ya ofisi ya Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kanda ya ziwa jijini Mwanza muda mfupi baada ya kuizindua. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Dr. Aloyce Nzuki.

Tangu kufunguliwa na kuanza kutoa huduma mkoani Mwanza ofisi hii ya bodi ya Utalii imepata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa idadi ya wageni hususan wa nje wanaotembele ofisi hii ili kupata taarifa ya vivutio vya utalii vilivyopo hapa Mwanza na Kanda ya ziwa kwa ujumla. Kwa mfano kuanzia Desemba 26, 2012 hadi Machi 2013 idadi ya wageni waliotembelea ofisi yetu walikuwa 102; kuanzia Aprili hadi June 2013 walikuwa 97; na kuanzia Julai hadi tarehe 27/9/2013 ofisi hii ilopozinduliwa rasmi idadi ya wageni imefikia 242. Hivyo jumla ya wageni (watalii) kutoka nje ya nchi waliotembelea na kupata taarifa za utalii katika ofisi yetu toka imefunguliwa ni 441.

Kikundi changoma kutoka kituo cha utamaduni cha Bujora mkoani Mwanza kikitoa burudani ya ngoma ya kucheza na chatu mbele ya ofisi ya Bodi ya Utalii kanda ya ziwa jijini Mwanza mara tu baada ya mgeni rasmi Naibu Waziri Lazaro Nyalandu kuwasili ofisini hapo ili kuizindua ofisi hiyo.

Mafanikio mengine ni pamoja na Bodi ya Utalii kupitia kitengo chake cha Utalii wa Utamaduni (Cultural Tourism Program) kwa kushirikiana na ofisi hii ya Kanda kuanza kutoa huduma za ushauri wa kuendesha kuiutaalamu zaidi shughuli za Kikundi cha Utalii wa Kitamaduni cha Kisesa (Kisesa Eco & Cultural Tourism). Tunatambua na kushirikiana na Kituo cha Kumbukumbu cha Kabila la Wasukuma cha Bujora na ambacho tumekuwa tukikitangaza kwa muda mrefu sasa kama moja ya vivutio vilivyoko hapa Mwanza. Aidha ofisi yetu hii ya Kanda hapa Mwanza mpaka sasa imeweza kutoa nafasi ya mafunzo kwa vitendo kwa Wanafunzi sita kutoka vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino-SAUT. Aidha kupitia ofisi ya Kanda Bodi ya Utalii Mwezi Februari ilileta mkoani Mwanza wandishi wa habari wa kimataifa wawili kutoka Uturuki ili kuandika na kupiga picha vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Mwanza kwa lengo la kuvitangaza katika nchi hiyo.

Kufunguliwa kwa ofisi hii ya Kanda kutasaidia kwa kiasi kikubwa sana katika kuvitangaza vivutio vya utalii vya hapa Mwanza na Kanda ya ziwa na itakuwa ni chachu ya maendeleo ya sekta ya utalii mkoani Mwanza na katika Kanda ya ziwa kwa ujumla.

TTB PRESENTS INTERNATIONAL MARKETING STRATEGY TO DIPLOMATIC CORPS

Tanzania Tourist Board (TTB) in collaboration with Tourism Confederation of Tanzania (TCT) presented the International Marketing Strategy to Ambassadors whose countries are among the major tourist source markets for Tanzania Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI YAFUNGULIWA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kufungua ofisi jijini Mwanza kwa kuwa hatua hiyo itaharakisha maendeleo ya sekta ya utalii mkoani Mwanza na Kanda ya ziwa na amewataka wananchi wa Mwanza kukuza utalii wa ndani kwa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Mwanza, Kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla na kuondokana na dhana kuwa utalii ni kwa ajili ya wazungu tu.   Bofya hapa kuapata habari zaidi.

 

 

 

 

 

TAARIFA KWA UMMA

 

BODI YA UTALII TANZANIA


Maadhimisho ya sikukuu ya Utalii Duniani Kitaifa Mwaka huu yatafanyika Mkoani Mwanza kuanzia tarehe 22-29/9/2013 Septemba.  Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Utalii na Maji – Kulinda Hatma yetu (Tourism and Water  – Protecting Our Common Future) Shughuli zote za maadhimisho hayo zitafanyika katika uwanja wa Nyamagana.

 

Pamoja na shughuli mbalimbali zitakazofanyika  kutakuwepo pia  na maonesho yakiwemo ya utalii, malikale, misitu na masuala ya uhifadhi kwa ujumla, na teknlojia mbalimbali. Aidha kutakuwepo pia safari za kutembelea Hifadhi mpya ya Taifa ya Saanane.  Wananchi wote mnaombwa kujitokeza na kushiriki katika maadhimisho hayo.

 

Utalii uanze kwa Mtanzania mwenyewe.

Imetolewa na:

Mkurugenzi Mwendeshaji

SUNDERLAND AFC PRESENTS JERSEYS TO TANZANIA

The Managing Director of Tanzania Tourist Board, Dr. Aloyce K. Nzuki (Second Left) talks to the member of the press at the event of English Premier League Sunderland Football Club’s jersey presentation held at New Africa Hotel. Dar es Salaam.

The Commercial Director of Sunderland Association Football Club of England, Mr. Gary Hutchinson (second right) talks with during press conference at New Africa Hotel Shortly before presenting Sunderland AFC’s jersey to Dr. Aloyce K. Nzuki, The Managing Director of Tanzania Tourist Board (Second left), who received it on behalf of the Minister of Natural Resources and Tourism, and to Mr. Leonard Thadeo , the Director of Sports (first left) on  behalf of the Minister for Information, Youth, Culture and Sports.

The Sunderland Association Football Club’s Commercial Director, Mr Gray Hutchinson (second right) presenting a jersey to the Tanzania Tourist  Board’s Managing Director, Dr. Aloyce K. Nzuki on behalf of The  Minister for Natural Resources and Tourism, Hon. Ambassador Khamis Kagasheki.

The Director of Sports Mr. Leonard Thadeo (left) receives a Sunderland Association Football Club’s jersey on behalf of The Minister for Information, Youth, Culture and Sports, Dr. Fenella Mukangara from the Commercial Director of The English Premier League Club.

 

 


 

1. The Director of Sports Mr. Leonard Thadeo (left) receives a Sunderland Association Football Club’s jersey on behalf of The Minister for Information, Youth, Culture and Sports, Dr. Fenella Mukangara from the Commercial Director of The English Premier League Club.

TTB MOVES TO SEOUL KOREA TOURISM MARKET

Tanzania Tourist Board signed memorandum of understanding (MoU) with Africa Future Forum (AFF) of Seoul Korea. This initial contract aimed to collaborate in promoting Tanzania tourist attractions in Seoul Korea and to their neighbor countries.

The African Future Forum is a Korean NGO that assisting and facilitating infrastructure development in Africa. Currently AFF have two projects in Tanzania; Tanga Special Economic Zone- Industrial Park and Prison’s Farms Project. And now has focused in Tourism Industry.

In order to create awareness of Tanzania Tourist attractions to Seoul Korea Citizen, In the middle of October, 2013 AFF is expecting to open the Tourism Promotion Centre in Korea whereas it will be providing information on Tanzania tourism as well as disseminates promotional materials in Korean language.

Through this partnership, it will enable Tanzania to increase number of tourists from Korea. Tanzania receives 3000 tourists from Korea every year.

The signing ceremony held today at New Africa Hotel, Dar es Salaam

NEW DATE AND EXITING NEW OFFERS ANNOUNCED FOR THE SWHAHILI INTERNATIONAL TOURIS EXPO – SITE (DAR ES SALAAM)

The Tanzanian Tourism Board has announced the new dates for the SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO – SITE (Dar es–Salaam). The new dates for the expo will be the 1 – 4 October 2014.

Due to the overwhelmingly positive response that we have received from exhibitors regarding their participation we find ourselves with insufficient time to match this enthusiasm with the required number of visitors and hosted buyers which indeed form the winning combination to hosting a successful tourism expo. The creation of value in participation is important to the Tanzania Tourism Board and it is for this very reason, SITE has been moved to the 1 – 4 October 2014 and will be taking place at the same proposed venue – Mlimani Conference Centre, Dar-es-Salaam. Read More

HAYDOM CULTURAL FESTIVAL 2013

The H4CCP is organizing for the 2nd time the Haydom Cultural Festival which is scheduled to take place from 2nd – 6th September, 2013 at Haydom Cultural Centre; bringing together the four main language groups with what could be termed as the fifth group which is the institutions, organizations and companies. H4CCP welcomes people from all over the world to come and enjoy this unique cultural celebration in Africa.

It’s only in Haydom where one can get such a wonderful natural mix in rural setting of hair raising authentic cultural event of four main ethno-linguistic groups performing just within a small cultural village, just where they live.

Being one of its own kind event, Haydom Cultural festival is hosted in the rural Tanzania, the rural population opportunity to integrate with various exhibitors while they celebrate their cultural values including the traditional artifacts shows, traditional dance performances and competition, cultural film shows, traditional games for leisure & competition and half marathon just to mention a few.

Tourists planning a trip to Northern Tanzania can perfectly include this on their itinerary when exploring popular parks like Tarangire, Lake Manyara and Serengeti National parks without forgetting Ngorongoro crater, Oldonyo Lengai, Lake Natron and Eyasi places of wonder.

 
For More Information

THAILAND PRIME MINISTER TOURS SERENGETI NATIONAL PARK

The Prime Minister of Thailand Ms Yingluck Shinawatra being met by the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. ambassador Khamis Kagasheki as she embarking from a plane at Seronera Airstrip in Serengeti National Park.

The Thai Prime Minister Ms Yingluck Shinawatra shake hands with the TANAPA Director General Mr Allan Kijazi soon after landing at Seronera Airstrip for a tour in the Serengeti National Park which is one of the New Seven Wonders of Africa.

Ms Yingluck the Thai Premier being welcome to the famous Serengeti National Park by the Park chief Warden Mr William Mwakilema at Seronera Airstrip in Serengeti

The Prime Minister of Thailand Ms Shinawatra, the Minister for Natural Resources and Tourism Ho. Ambassador Khamis Kagasheki (front left), the Minister of State – Prime Minister’s Office Investment and Empowerment Hon. Dr Mary Nagu heading to the National Park offices soon after arriving at the National Park for a tour.

PRESS RELEASE:TANZANIA INTERNATIONAL AIRPORTS SCOOP AWARDS

 

The two airports in Tanzania, Julius Nyerere International Airports (JNIA) and Kilimanjaro International Airport (KIA) scooped the top awards during the 8th Routes Africa event which was held in Kampala, Uganda on the7th to 8th of July, 2013.

The award presentation a event took place on the stunning Lakeside Pool Lawns of the Speke Resort, which sits right on Lake Victoria, Uganda, Kilimanjaro International Airport was announced as winner of the African heat of this year’s Routes Airport Marketing Awards.  Over 300 aviation professionals were gathered to witness the presentation of the awards and to take part in the 8thRoutes Africa – the largest route development event for the entire African region, which this year is hosted by the Civil Aviation Authority of Uganda and Entebbe International Airport.

KADCO Representatives in a group photo after being presented an award.

“This has been one of the most amazing evenings for us at Kilimanjaro International Airport to win this award,” said Christine Mwakatobe, Business Development Manager, Kilimanjaro Airports Development Company, after collecting the award.  “We would like to thank all of the airlines that serve the airport for voting for us in this process and we are pledging our commitment that we will keep working hand-in-hand with all of our partners.  Thank you for trusting in us and believing in us and giving us this wonderful opportunity to show the rest of Africa what we are doing at Kilimanjaro International Airport.” she added.

Routes Africa is the largest Routes Development forum for the entire Africa region. The Routes Airport Marketing awards have recognized the highest standards of airport marketing efforts made by the respective airports. KIA received the overall for Airport Marketing in African and well as winning under 4million passengers per annum category. JNIA was highly recommended in under 4 million passengers per annum category. As the overall winner of the Africa Heat, KIA will automatically be shortlisted for world routes marketing awards taking place in Las Vegas, Nevada, USA in October, 2013.