Waratibu wa Mrdai wa Environmental Cso's Capacity Building unaoendeshwa na WWF Tpo's Ndugu Rugemalila na Simba wakiwa na wadau wa sekta ya uvuvi katika kijiji cha Msangamkuu-Mtwara wakiwa kwenye picha ya Pamoja katika safari yao kubaini changamoto za wavuvi na sekta ya uvuvi kwa ujumla,Kwa Pamoja wakiwa na Katibu mtendaji wa SAJAKU
Ibitekerezo (1)