Picha hiyo hapo juu ni vijana walioathirika na mafuriko eneo la Keko Magulumabsi wakihojiwa na mmoja wa wanachama wa Tawa aliyewatembelea kwenye eneo hilo.Kutokana na vijana hao kupoteza vitendea kazi vyao, imewasababishia kukosa ajira na kukaa vijiweni kitendo kinachoweza kuwasababishia kuingia katika makundi mabaya ya ukabaji ,uvutaji bangi na madawa ya kulevya.
Comments (2)