Log in
Wasaidizi wa kisheria Masasi

Wasaidizi wa kisheria Masasi

Masasi, Tanzania

Washema imetakiwa kubadili jina lake na kuwa WAKIHABIMA kufuatia ushauri wa kisheria toka kwa msajili ili kuepuka mgongano wa jina na asasi nyingine yenye jina kama hilo kwenye daftari la msajili wa Ngo's.Hivyo asasi hii sasa inatambuliwa kwa jina hilo.
August 17, 2015
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.