Envaya

Mwezi wa saba yocoso tumeweza kumaliza shughuli za mradi wa AMKA  uliolenga kutoa Elimu juu ya athari za matumizi ya  dawa za kulevya miongoni mwa vijana. shughuli za Mradi zilikuwa na mafanikio kwani tuliweza kuwafikia vijana walengwa katika maeneo yao na kuweza kuongea nao kupitia shughuli zilizopangwa kufanyika katika Mradi,

Katika Mwezi  wa saba tulikuwa tukifanya matukio ya kijamii ( matamasha) yaliyolenga kutoa elimu kwa vijana juu ya athari zitokanazo na matumizi yaDawa za Kulevya. Matamasha hayo yalifanyika katika kata ya Njoro mtaa wa sokoni,kaloleni mtaa wa CCM na Pasua sokoni.

6 Agosti, 2010
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.