kuwawezesha vijana na watoto wanakuwa na hali mzuri ya maisha kwa kuondokana na umaskini na hali mbaya na maisha kwa kuwapatia elimu bora na maisha bora wanayostahili kuwapatia vijana na watoto kwa kuwashirikishwa katika jamii ianyowazunguka ili kuweza kuendesha maisha na kuwa haki sawa kwa wote.
Mabadiliko Mapya
TANDAHIMBA YOUTH AND CHILDRENS ORGANIZATION (AVIWATA) imejiunga na Envaya.
16 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
TANDAHIMBA, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu