Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

DAPEA Inakaribisha wadau wa sanaa na utamaduni wa mwafrika ambao wapo tayarikufanya kazi pamoja na kutoa elimu kwa wanachama wake bila masharti yeyote.

Ikumbukwe kuwa shirika msingi wake ni wa huduma kwa jamii kama yalivyo mashirika mengine ya kirai hivyo suiala la kujitolea kwa manufaa ya jamii yanapewa kipaumbele.

Kwa habari zaidi na mawasiliano waweza kuwasiliana na

Mkurugenzi Mtendaji.

Dakawa Perfoming Arts Org,

P o Box  5272,

Morogoro.

Cell 0778 913586/ 0758 482464/0713769245

E mail neyfaith@ymail.com  /dakedev2010@yahoo.com