Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Mashirika ya Ubia
HakiElimu
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)
RITA
Dira
Dira ya RITA ni kuwa chombo chenye ufanisi katika utoaji wa huduma za usajili, ufilisi na udhamini.
Dhima
Dhima ya RITA ni kusimamia haki kwa usimamizi wenye ufanisi wa kumbukumbu muhimu za maisha ya binadamu, ufilisi na udhamini ili kuchangia katika maendeleo ya taifa.
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) linakusudia katika utoaji wa habari nzuri na thabiti juu ya matukio muhimu maishani, ushirikishwaji wadhamini, utunzaji wa mali chini ya udhamini, za mtu aliyefariki, muflisi, na umri chini ya utu uzima(chini ya miaka 18) ili kuwezesha sheria kuchukua mkondo wake.
RITA ilizinduliwa rasmi tarehe 23 Juni 2006 na kuibadili Idara ya Kabidhi Wasii Mkuu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, Wizara ya Sheria na Mambo ya Katiba.
Tanzania Early Childhood Development Network(TECDEN)
Mabadiliko Mapya
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa Washirika.
MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote. – Kwa sasa washirika wa MED ni:- – OxfarmGB
HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
UWEZO.net ya jijini Dar es... Soma zaidi
1 Oktoba, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza Society for Service to Rural Development in Tanzania kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
1 Oktoba, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa Timu.
TIMU YA MED 2011 – Mr. Davis Makundi - Cordinator – – – ... Soma zaidi
1 Oktoba, 2014
3 Machi, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza Habari.
MCT YAAHIDIWA MSAADA KUHAMIA DODOMA Na. MED Media Unit – Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi amelishauri Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhamia Dodoma na kuahidi kusaidia juhudi za baraza hilo ili lihamishie... Soma zaidi
14 Februari, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza Habari 4.
Mtaa wa One Way maarufu kwa biashara mbalimbali ukiwa kimya kutokana na maduka kufungwa kuhusiana na mgomo wa wafanya biashara.
12 Februari, 2014

Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza Habari 7.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utawala bora kwa wanafunzi wa shule za Wilaya ya Chamwino yanayoendeshwa na MED kwa uhisani wa Oxfam.
11 Februari, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa Timu.
TIMU YA MED 2011 – Mr. Davis Makundi - Cordinator – – – ... Soma zaidi
11 Februari, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imehariri ukurasa wa Miradi.
MIRADI MIPYA YA MARAFIKI WA ELIMU DODOMA (MED) 2014 – – – Mradi wa Haki Zangu Sauti Yangu/My Rights My Voice(MRMV) 2014.
Mradi wa vipindi vya Radio 2014.
Mradi wa Youth 2 Youth... Soma zaidi
11 Februari, 2014
Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeongeza Habari.
Kitaifa – Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka ... Soma zaidi
27 Mei, 2013