Envaya

large.jpg

Washiriki hawa waliowakilisha makundi mbalimbali ya watu wenye ulemavu,walipata fursa ya kujadili masuala kadha wa kadha na ya msingi wakiipitie rasimu ya katiba mpya sura moja baada ya nyingine.Huku wakitoa mapendekezo yao kama kundi la watu wenye ulemavu.Mapendekezo hayo yalikuwa katika maeneo tofauti kama vile uhuru wa vyombo vya habari,mahitaji ya watu wenye ulemavu na kuzingatia mazingira yao rafiki,kinga dhidi ya mamlaka ya raisi ambapo pamoja na mambo mengine wao walipendekeza raisi ashitakiwe mahakamani endapo atakiuka na kuvunja sheria za nchi hata baada ya utumishi wake katika taasisi ya uraisi.

August 7, 2013
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.