Envaya

shirika limeandika mradi wa PETS katika kata za bungu kolelo na kasanga ndani ya tarafa ya mvua wilaya ya morogoro vijijini

shirika la viyoso limeendesha mafunzo kwa vijana ndani ya manispaa na kuwajengea uwezo vijana wa kujitambua na kutambua fulsa zilizopo hili wajiletee maendeleo

shirika la viyoso limetoa michango ya ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ndani ya kata ya uwanja wa taifa - morogoro manispaa.

shirika la viyoso linaendesha mafunzo ya computer,uhazili na hotel management kwa vijana wa morogoro na miji ya karibu

 

26 Februari, 2014
Ifuatayo »

Maoni (1)

Victory Youth Support Organization (morogoro manispaa) alisema:
viruri sana
26 Februari, 2014

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.