Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

HIZI NDIZO PICHA ZA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA CHEKECHEA LEO ASUBUHI http://t.co/DHqoj4xu

Haki Elimu HakiElimu

@IamBenPol Tutumie kupitia media@hakielimu.org au hakielimumedia@gmail.com tutaipata

Haki Elimu HakiElimu

@nyabatende Thanks looking forward to receiving your photo with what needs to be done to change that worse situation #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

@shyrosebhanji Shukrani na tufikishie salamu kwa viongozi wenye mapenzi mema na nchi yetu tunawasubiria kwa hamu katika kampeni hii

Haki Elimu HakiElimu

@IamBenPol Tunashukuru na tunaingoja picha yako na ujumbe wako kwa hamu hakika utakuwa umelisaidia taifa ku #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

@masoudkipanya Sanaa ni njia inayosaidia kufikisha ujumbe na kuleta maendeleo popote tunatambua umuhimu wako ungana ku #boreshachekechea

Haki Elimu HakiElimu

@diamondplatnumz Sanaa ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe, tutashukuru ukichangia ku#boresha elimu ya tanzania kwa kutuma ujumbe na picha tu

Haki Elimu HakiElimu

@Sajjo Shukrani kaka kwa mchango wako ,wewe ni mtu muhimu sana katika mitandao ya jamii, tutashukuru tukipata ujumbe wako kwa picha ktk hili

Haki Elimu HakiElimu

Sanaa ni njia nzuri ya kupeleka ujumbe kwa wengi na kuleta mabadiliko tumia nafasi yako ku #boreshachekechea @Profesa_Jay @OrijinoKomedi