Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Hili ndilo tangazo linaloonyesha baadhi ya mbinu zinazotumika katika mitihani ya Taifa ili kufaulisha #ChangeTanzania http://t.co/DeHlw4qF
Comments (0)
Walifaulu vipi kuingia sekondari?
Kuna tatizo kubwa la udanganyifu katika mitihani ya taifa nchini Tanzania. Tangazo hili linabeba ujumbe kuonyesha baadhi ya mbinu zinazotumiwa ili wanafunzi "wafaulu". Tuungane kukomesha tatizo hili. |
From:
Haki Elimu
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 01:04 | More in Nonprofits & Activism |

Hili ndilo Tangazo la HakiElimu lilibeba ujumbe wa wanafunzi wa sekondari wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu http://t.co/QmJZOZC9

I uploaded a @YouTube video http://t.co/mMba33I0 Maajabu nchini Tanzania- Sekondari Hawajui Kusoma na Kuandik
Maajabu nchini Tanzania- Sekondari Hawajui Kusoma na Kuandika
Tangazo hili linabeba ujumbe wa wanafunzi wanaomaliza elimu ya Msingi pasipo kujua kusoma na kuandika. Tuungane kulifuta tatizo hili kwani tunajenga taifa la wajinga. |
From:
Haki Elimu
Views:
3
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 00:56 | More in Nonprofits & Activism |

Tuna haki na ni wajibu wetu kushiriki na kuhoji mipango ya maendeleo ya Taifa yetu( Sehemu ya Pili) http://t.co/aQLPwCOn

I uploaded a @YouTube video http://t.co/2PfISbvh HakiElimu's effort to make Tanzanians partipate in budget pr
HakiElimu's effort to make Tanzanians partipate in budget processes prt 2
24 Hours budget response is a newly approach used by HakiElimu to provide space for public discussions and recommendations on 2012/2013 Government budget.Make sure you don't miss the next opportunity. Yes you can change Tanzania. |
From:
Haki Elimu
Views:
6
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 04:18 | More in Nonprofits & Activism |

Tuna haki na ni wajibu wetu kushiriki na kuhoji mipango ya maendeleo ya Taifa yetu (Bajeti 2012/2013) http://t.co/Fdsv8Uuh