Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Teachers have a big role and influence in our lives. Some of the stories on what do we remember about the... http://t.co/cEz7kqQ4
Comments (0)

Can someone share a little story here. What do you remember from a primary school teacher that you admire the most?

I uploaded a @YouTube video http://t.co/Xx2ZLVFP TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU
TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU
Shirika la HakiElimu limetoa tamko kuhusu mgomo wa walimu unaoendelea nchini. Pichani ni Mkurugenzi wa Shirika hilo,Bi Elizabeth Missokia akitoa tamko hilo mbele ya wandishi wa habari aliokutana nao jana tarehe 02/082012 kabla ya mahakama kuu kitengo cha kazi kusema mgomo huo ni batili na walimu warudi kufundisha. |
From:
Haki Elimu
Views:
3
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 03:40 | More in Nonprofits & Activism |

Kurudi wamerudi kama walivyokutwa na kamera yetu leo hii http://t.co/BukVtWqZ ,Swali ni je wanafunzi wetu watafundishwa? TAFAKARI