
Je una ujumbe gani kwa watawala na wananchi wote nchini utaowezesha #boreshachekechea na watoto wetu wasome http://t.co/OdwpztkO

Uzinduzi wa kampeni ya kuboresha elimu ya awali iliyopewa jina la #boreshachekechea http://t.co/BCsCbrIO

Tunazindua rasmi kampeni ya kuboresha elimu ya awali nchini inayokwenda kwa jina la #boreshachekechea tunaomba watanzania wote mtuunge mkono

Mimi,wewe na yule tunaweza kuleta maendeleo nchini kama tutatimiza wajibu wetu. Ungana nasi hapa kesho tutimize wajibu wa kuijenga nchi yetu

Kamera ya kwenye simu yako au kamera nyingine uliyonayo yaweza kubadilisha Tanzania, Kesho tutaonesha mfano , tunaomba utuunge mkono

TUNAHESABU MASAA TU KUFIKIA SIKU YA TUKIO YANI KESHO. Ni kamera uliyonayo popote ikiwemo ya kwenye simu yako ya... http://t.co/E5cdOnYO

BADO SIKU 1 TU : Tuna Siku Ya Kesho Tu Kabla ya Tukio Litakolokujia kutoka kwa HakiElimu. Kufahamu Zaidi Usikose... http://t.co/uMR8DAls

Issues that need to be worked out b4 new production partnership agreements with prospective investors in oil and gas http://t.co/3mgVI7zr